RAIS DKT. MWINYI: SMZ KUONGEZA THAMANI YA ZAO LA MWANI KUINUA KIPATO CHA WAKULIMA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea kutekeleza mikakati ya kuongeza thamani ya zao la mwani kupitia uanzishaji wa viwanda vya usindikaji, ili kuongeza kipato cha wakulima, kupanua masoko na kuimarisha ushindani wa bidhaa za Zanzibar kimataifa. Rais Dkt. Mwinyi ameyasema hayo leo, tarehe 01…

Ответственная игра — это принци …