KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA ELIMU BILA MALIPO YAFANYIKA ZANZIBAR
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Lela Mohamed Mussa, amesema Serikali itaendelea kuhakikisha kila mtoto anapata haki…
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Lela Mohamed Mussa, amesema Serikali itaendelea kuhakikisha kila mtoto anapata haki…
NA FAUZIA MUSSA WAKALA wa Chakula na Dawa Zanzibar (ZFDA) imepiga marufuku uingizaji wa bidhaa za virutubisho vyenye mchanganyiko wa…
Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab ameahidi kushirikiana na Shirikisho la Mchezo wa Ukuta…
NA FAUZIA MUSSA SERIKALI ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) imeeleza dhamira yake ya kutekeleza mikakati…
NA FAUZIA MUSSA Wakala wa Chakula na Dawa (ZFDA) na Baraza la Tiba Asili na Tiba mbadala Zanzibar wametoa wito…
NA FAUZIA MUSSA KATIBU Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Abeda Rashid Abdallah, amesema malezi na makuzi…
NA MAUA ABDALLA BMMA Baraza la Manispaa Magharibi “A” limeendesha zoezi la kuvunja vibanda vya wafanyabiashara wadogowadogo waliokuwa wakiendesha shughuli…
Mahakama ya Mkoa ya Vuga tarehe 27/08/2025 imemhukumu Mshtakiwa Nassor Seif Khamis (47) mkazi wa Nyerere Zanzibar, kutumikia adhabu ya…
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Masoud Juma Haji amesema Taasisi ya Pamoja Youth Initiative (PYI) inaendelea kuwapatia…
Waumini wa dini ya kiislamu wametakiwa kujitolea kuwekeza katika mambo ya kheri ikiwemo kujenga misikiti, madrasa , sambamba na kuitumia…