Sakaza
VIONGOZI WA DINI WATAKIWA KUSIMAMIA HAKI NA AMANI – OTHMAN MASOUD
NA OMKR Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Taifa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman, amesema…
WAANDISHI WAASWA KUZINGATIA MAADILI YA UTANGAZAJI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU.
NA FAUZIA MUSSA TUME ya Utangazaji Zanzibar (TUZ) imewataka waandishi wa habari na vyombo vya utangazaji kuzingatia maadili ya taaluma…
JUHIMKO YAOMBA USHIRIKIANO KUKABILIANA NA ATHARI ZA MABADILIKO YA TABIA NCHI MJI MKONGWE
NA FAUZIA MUSSA JUMUIYA ya Uhifadhi Mji Mkongwe (JUHIMKO) imeiomba Serikali na wadau wa maendeleo kuendeleza ushirikiano katika kukabiliana na…
ZAECA YAWATAKA WANAWAKE WAGOMBEA KURIPOTI VITENDO VYA RUSHA MAPEMA
NA MARYAM NASSOR MAMLAKA ya kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA) imewataka wanawake wanaogombea nafasi mbali mbali za uongozi…
MTOTO WA MIAKA 14 ABAKWA NA KUPATA UJAUZITO KIDIMNI, MTUHUMIWA AKIMBILIA KUSIKOJULIKANA
Na Abdul sakaza “Nilikuwa natamani nikue na kuwa mwalimu, lakini sasa niko hivi na sijui nifanye nini, Malengo yangu yamekatishwa…
UNGUJA UKUU WAITAKA SERIKALI KUIFUNGIA BAA INAYOWAFUNDISHA WATOTO WAO NGONO
Na Abdul Sakaza Wananchi wa Shehia ya Unguja Ukuu, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, wameibua malalamiko mazito dhidi…
UMASIKINI CHAZO CHA UKATAJI WA MIKOKO UNGUJA UKUU
Na Abdul Sakaza , UNGUA UKUU – ZANZIBAR Umasikini umeendelea kuwa sababu kubwa ya ukataji wa mikoko katika kijiji cha…
KUHAKIKISHA USAWA KWA WATU WENYE ULEMAVU KATIKA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR
Na Salum Ameir ZANZIBAR – Wadau mbalimbali wameeleza wasiwasi kuhusu uwakilishi mdogo wa watu wenye ulemavu katika Baraza la Wawakilishi,…
“HAKIKISHENI WATOTO WOTE WANASAJILIWA NA KUPATIWA VYETI VYA KUZALIWA” DOKTA. MWINYI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameitaka Ofisi ya Usajili wa Matukio ya…
