HABARI ZA JAMII

ZANZIBAR NA TULIVE PRIVATE EQUITY LIMITED YA NAMIBIA ZIMETILIANA SAINI HATI YA MASHIRIKIANO (MOU) BIASHARA YA KABONI

NA FAUZIA MUSSAOFISI ya Makamu wa Kwanza wa Rais na kampuni ya Tulive Private Equity Limited ya Namibia zimetiliana saini hati ya mashirikiano (MoU) katika kuanzisha utaratibu wa kusimamia biashara ya kaboni kwa sekta za usafiri wa anga na bahari katika Mamlaka ya Zanzibar. Akizungumza katika hafla hiyo, iliofanyika Migombani Mjini unguja, Katibu Mkuu Ofisi…

ZBS YATANGAZA TUZO ZA UMAHIRI

NA FAUZIA MUSSA TAASISI ya Viwango Zanzibar (ZBS) imeandaa mashindano ya tuzo za umahiri 2026, yanayolenga kuhamasisha uzalishaji wa bidhaa na utoaji wa huduma bora zilizothibitishwa kwa viwango vya kitaifa na kikanda. Mashindano hayo yanahusisha biashara ndogo na ndogo sana (MSE – Micro and Small Enterprises) na biashara za kati na kubwa (MLE -Medium and…

“KALAMU NA HARAKATI ZIWE SILAHA YA MABADILIKO KATIKA JAMII YENU” Waandishi Wa Habari Na Wadau Waaswa Zanzibar

Na Abdul Sakaza Akiipoti Kutoka Zanzibar Imeboshwa Saa 9 Zilizopita Katika hali inayozidi kuonyesha umuhimu wa vyombo vya habari na asasi za kiraia katika maendeleo ya taifa, wadau wa sekta hizo visiwani Zanzibar wametakiwa kuacha tabia ya kuripoti matukio kama simulizi na badala yake kuwa injini ya kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazoididimiza jamii. Akizungumza na…